Ahisibwe, Anthony (Makerere University, 2022-05-06)
makala hii inahusu usawiri wa mwanamke katika tamithilia ya kivuli kinaishi na kimya kimya kimya . usawiri wa mwanamke ni suala au mchoro wa wahusika wa kike katika kazi za fasihi . usawiri wa mwanamke unajengwa na vipengele ...