Amutuheire, Caroline (Makerere University, 2023-01-17)
Utafiti huu unalenga kulinganisha mtindo wa methali za Kiswahili na za Kikiga. Utafiti huu ulikua na malengo kama yafuatayo; Lengo kuu la utafiti ni kulinganisha mtindo wa methali za Kiswahili na za Kikiga. Malengo mahususi ...