Apio, Catherine (Makerere University, 2023-10-16)
Lengo kuu la utafiti huu ni kujua jinsi ambavyo mtoto wa kikonzo anayejifunza lugha ya Kiswahili anavyoathiriwa na lugha yake ya mama katika harakati za kujifunza lugha ya kiswhili sanifu. Utafiti huu umefanywa katika mjini ...