Bwambale, Biino (Makerere University., 2021-03-12)
Utafiti huu ulikusudia matumizi ya ushairi katika tamthiliya za Kiswahili. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuonyesha jinsi ushairi unavyo tumiwa katika tamthiliya za kiswahili, na madhumuni mahususi yaani kuonyesha ...