Nafula, Joy (Makerere University, 2022-11-30)
Utafiti huu umeshughulikia na kuchunguza Athari za Lugha za Lumasaba katika ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili, hasa kwa matamshi na namna matamshi hayo hutamkwa kwa Lugha tofauti na Yule mzawa anapokuwa anajifunza Lugha ...