Nuwahereza, Samuel (Makerere University, 2023-09)
Malengo: Lengo kuu: Kugundua namna au jinsi nyimbo za kiswahili zinavyosaidia katika ujifunzaji wa lugha ashirafu ya kiswahili. Malengo mahususi: 1. Kutambua aina tofauti tofauti za nyimbo za kiswahili. 2. Kufafanua namna ...