Ramathan, Moses (Makerere University, 2023-10)
Lengo kuu la utafiti: Lengo kuu la utafiti huu ni kuchunguza nafasi ya mwanamke katika ujenzi wa jamii katika riwaya ya Uhasama Kilimani. Malengo mahususi: i). Utafiti huu ulikuwa na malengo mahususi mawili ambayo ni: ...