Browsing College of Education and External Studies (CEES) by Subject "lugha ya Kiswahili"
Now showing items 1-3 of 3
-
Athari za lafudhi katika lugha ya Kikiga katika ujifunzaji na ufundishaji wa lugha ya Kiswahili: [Effects of Kikiga language accent on the teaching and learning of Kiswahili language].
(Makerere University, 2022-12-12)Lengo kuu: Lengo kuu la utafiti huu ni kutambua athari za kimatamshi za maneno kati ya lugha ya Kikiga na Kiswahili. Malengo mahususi: 1. Kuchunguza uchopekaji na udondoshaji katika lugha ya kikiga na Kiswahili. 2. ... -
Athari za teknolojia katika ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili: [the effects of technology on Swahili language learning]
(Makerere University, 2022-02-05)Matini hii inahusu athari za teknolojia katika ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili. Jinsi teknolojia inavyoweza kuathiri ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili yaani athari chanya na athari hasi. Matini hii ina sura moja, na sura ... -
Kutathmini mchango wa serikali katika ukuzaji na uendelezaji wa lugha ya Kiswahili nchini Uganda
(Makerere University, 2022-11-30)Utafiti huu unahusu Kutathimini mchango wa serikali katika ukuzaji na uendelezaji wa lugha ya kiswahili nchini Uganda. Utafiti umegawanyika katika sura tano yaani: sura ya kwanza hadi sura ya tano. Kiswahili ni lugha ya ...