Gumisiiriza, Racheal (Makerere University, 2022-11-29)
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa uchambuzi wa Tamthilia ya Mkwamo na Kilio cha Haki kwa kutumia Nadharia ya Umaksi. Malengo mahususi ya utafiti huu yalikuwa ni; udhihirishaji wa matumizi ya nadharia ya Umaksi katika ...