Search
Now showing items 141-150 of 190
Kulinganisha ujenzi wa maadili katika riwaya ya Vipuli vya Figo na Ndoto ya Almasi
(Makerere University, 2022-12-02)
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa kulinganisha ujenzi wa maadili katika riwaya teule za kiswahili
yaani Vipuli vya figo na Ndoto ya Almasi. Malengo mahususi ni a)Kueleza ujenzi wa maadili
katika riwaya ya Vipuli vya ...
Utumiaji wa Nyimbo kama mbinu ya kufundishia Kiswahili
(Makerere university, 2022-12-09)
Utafiti huu ulishughulikia matumizi ya nyimbo kama Mbinu Moja wapo wa kufundishia sarufi ya kiswahili. Basi hivyo ilinibidi kutayarisha hojaji na kwenda nyanjani kupata maoni ya wahojiwa. Utafiti huu pia ulidadavua ...
Effect of COVID – 19 on Lifelong learning of Pre-service teachers at Makerere University.
(Makerere University, 2022-12-09)
This study was aimed at establishing the effect of Covid 19 on life-long learning of pre-service teachers at Makerere University. The study was guided by three specific objectives which were to examine the effect of Covid-19 ...
Kutathmini mchango wa serikali katika ukuzaji na uendelezaji wa lugha ya Kiswahili nchini Uganda
(Makerere University, 2022-11-30)
Utafiti huu unahusu Kutathimini mchango wa serikali katika ukuzaji na uendelezaji wa lugha ya kiswahili nchini Uganda. Utafiti umegawanyika katika sura tano yaani: sura ya kwanza hadi sura ya tano. Kiswahili ni lugha ya ...
An assessment of factors affecting waste management practices at a certain secondary school in Nansana Municipality
(Makerere University, 2022-12-07)
Background:
In schools some significant efforts like daily picking of school compounds, sweeping of classrooms, offices dormitories, mopping and burning of waste have led to improved management of waste in schools. However, ...
Olulimi Oluganda mukakuubagano n'ennimi endala: [Luganda in conflict with other languages]
(Makerere University, 2022-10-13)
OMULAMWA:
Ethologue (2017) agamba nti Uganda erina ennimi ezisukka mu makumi ana (40) naye nga olulimi Oluganda lwe lusinga okubeera n’aboogezi abasinga obungi ku nnimi endala zonna mu kibuga Kampala. Olw’okuba nti olulimi ...
Okunoonyereza kukutabiikiriza ennimi mu bayizi b'e Makerere
(Makerere University, 2022-12-15)
EBIGENDERERWA:
Ekigendererwa eky'awamu Okunoo Y nyereza kuno kugenda kwekenneenya ebireetera abayizi b’e Makerere yunivaasite okutabiikiriza ennimi nga boogera ne bannaabwe mu mbeerabantu.
Ebigendererwa ebironderere: ...
Form and function of Runyankole proverbs: a case study of selected Runyankole proverbs
(Makerere University, 2022-10-10)
This research was conducted in Kitagata Sheema District in western Uganda. The main purpose of the research was to find out the
form and function of proverbs in Runyankole. This research analyses fifty proverbs and their ...
The influence of knowledge about HIV/AIDS on the sexual behavior of students at school 'A' in Mpigi District
(Makerere University, 2022-12-14)
The main objective of this study was to assess the influence of knowledge about HIV/AID on the
sexual behavior of students at school ‘A’ in Mpigi district. A survey was adopted and primary
data was collected from 225 ...
Uchambuzi wa tamthilia ya Mkwamo na Kilio Cha Haki kwa kutumia nadharia ya Umaksi
(Makerere University, 2022-11-29)
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa uchambuzi wa Tamthilia ya Mkwamo na Kilio cha Haki kwa kutumia Nadharia ya Umaksi. Malengo mahususi ya utafiti huu yalikuwa ni; udhihirishaji wa matumizi ya nadharia ya Umaksi katika ...