Search
Now showing items 1-3 of 3
Ulinganishi wa nahau za Kiswahili na za Kingereza Kisemantic
(Makerere University, 2020)
Katika utafiti huu, mtafiti alijitahidi kushughulikia maarifa yanayohusu tofauti na mfanano uliyopo kati ya Nahau za Kiswahili na za Kingereza kwa kuegemea upande wa semantiki. Tasnifu hii itakuwa katika sehemu tatu
Dhima ya tafsiri katika ujifunzaji wa Kiswahili kama lugha ya pili katika shule za sekondari nchini Uganda
(Makerere University, 2020)
Utafii huu ulichunguza namna tafsiri inavyowezekana kufanikisha Ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili Kama lugha ya pili katika shule za upili za sekondari chini Uganda. Utafiti huu umezingatia hali na mazingira ambapo kutafsiri ...
Matumizi ya mbinu za tashbihi na jazanda katika tamthilia za Kiswahili
(Makerere University, 2020-12)
Lengo la jumla:
Kutathmini mbinu ya tashbihi na jazanda katika tamthilia teule ili kubaini vipengele vinavyotofautiana na vinavyofanana katika kutumia lugha ili kufikisha ujumbe katika mkabala wa fasihi linganishi.
Malengo ...