Search
Now showing items 1-8 of 8
Athari za kifonolojia za kinyankore katika kujifunza katika kiswahili, mintarafu stadi ya kusoma
(Makerere University, 2022-03)
Awali ya yote anayestahiki kushukuriwa ni Mwenyezi, Mungu kwa kuniumba, kunikuza na kunipa afya nzuri, uvumilivu, busara na hekima ya kufanya kazi hii hadi kuimaliza. NamwombaMungu anijalie ziada za kheri.
Pili, shukrani ...
Ukarimu wa lugha ya kiswahili katika nyanja a Biashara.
(Makerere University, 2022-02-17)
Naitabaruku kazi hii kwa wazazi wangu wapendwa Bw. Saipuma Edson na Mama wangu Bi. Masika Moreen kwa imani waliyo nayo katika uwezo wangu. Pia kwa watu wengine walionisaidia kwa kujitolea ilinifanikishe masomo yangu.
Mchango ya midahalo katika ufundishaji wa lugha ya Kiswahili
(Makerere University, 2022-02)
Kuchunguza michango ya midahalo katika ufundishaji wa lugha ya kiswahili
Ulinganishaji wa methaliza kiswahili na kinyankole katika kiwango cha sintaksia
(Makerere University, 2022-10)
Ulinganishaji wa methaliza kiswahili na kinyankole katika kiwango cha sintaksia
Ulinganishaji wa hadhi ya mwanamke Mswahili na Mmeru katika fasihi ya Kiswahili kwa kurejelea tamthilia za Zaribu Chungu na Natala
(Makerere University, 2022-11-04)
Utafiti huu unashugulikia kuchambua hadhi ya mwana mke katika tamthilia za zabibu
chungu na natala katika hali ya kuchambua suala ya utafitia katika vitabu teule ambayo
tulitambua ya kwamba mwanamke amepewa hadhi ya ...
Athari za lugha ya Kimeru katika ufundishaji wa maneno ya mkopo katika Kiswahili
(Makerere University, 2022-11-30)
Athari ya Lugha ya Kimeru katika ufundishaji wa maneno ya Kiswahili kwa kuangalia yale maneno ambayo ni ya mkopo katika lugha ya Kimeru na jinsi yameadhiri ufundishaji wa lugha ya Kiswahili
Uchambuzi wa tamthilia ya Mkwamo na Kilio Cha Haki kwa kutumia nadharia ya Umaksi
(Makerere University, 2022-11-29)
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa uchambuzi wa Tamthilia ya Mkwamo na Kilio cha Haki kwa kutumia Nadharia ya Umaksi. Malengo mahususi ya utafiti huu yalikuwa ni; udhihirishaji wa matumizi ya nadharia ya Umaksi katika ...
Usawiri wa mwanamke wa kisasa katika tamthilia teule za Kiswahili Kwenye Ukingo wa Thim (1988) na Mama Ee (1987): [Analysis of how the contemporary woman is portrayed in the novels "Kwenye Ukingo wa Thim (1988)" by Said A. Mohamed and "Mama Ee (1987)" by Ali Katini Mwachfu.]]
(Makerere University, 2022-11-07)
Lengo kuu:
Lengo kuu la utafiti huu ni kuchunguza usawiri wa mwanamke wa kisasa katika tamthilia teule za Kiswahili Kwenye Ukingo wa Thim (1988) na Mama ee (1987).
Malengo Mahususi:
(i) Kutathmini namna mwanamke ...