• Login
    View Item 
    •   Mak UD Home
    • College of Education and External Studies (CEES)
    • Academic submissions (CEES)
    • View Item
    •   Mak UD Home
    • College of Education and External Studies (CEES)
    • Academic submissions (CEES)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Usawiri wa wahusika vijana(wavulana na wasichana) katika riwaya za kufa kuzikana, kidagaa kimemwozea na nyota ya rehema

    Thumbnail
    View/Open
    Aminga-CEES-Bachelors.pdf (513.7Kb)
    Author
    Aminga, Deborah
    Metadata
    Show full item record
    Abstract
    Tasnifu hii imeonyesha usawiri wa wahusika vijana wavulana na wasichana katika riwaya za Kufa Kuzikana, Kidagaa kimemwozea na Nyota ya Rehema. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya uyakinifu wa kijamii ambao unajihusisha na utetezi wa wanyonge na ukombozi wao. Tumetambua kwamba vijana ni mawakala wa mabadiliko na wanaweza kuleta mchango ambao unaweza kuwafaidi wanajamii wote. Hii ni kwa sababu vijana ni wenye nguvu za mwili na maarifa ambayo wanaweza kutumia ili kuifunza jamii. Pamoja na haya, imeonyesha kwamba vijana wanakabiliana na changamoto nyingi ambazo ni lazima zichukuliwe hatua ili kizazi hiki ambacho ni muhimu sana kipate kuokolewa. Mbinu za utafiti zilizotumiwa ni za kimaktaba na utathmini wa matini. Maktabani, riwaya za kufa kuzikana, kidagaa kimemwozea na Nyota ya Rehema, makala tofauti kama vile tasnifu na vitabu vyenye maelezo kuhusu nadharia ya uyakinifu wa kijamii ilisomwa. Kwenye mtandao masuala yanayohusiana na vijana yalisomwa na kuangaliwa na pia kusoma maelezo kuhusu nadharia ya uyakinifu wa kijamii.
    URI
    http://hdl.handle.net/20.500.12281/4799
    Collections
    • Academic submissions (CEES)

    DSpace 5.8 copyright © Makerere University 
    Contact Us | Send Feedback
    Theme by 
    Atmire NV
     

     

    Browse

    All of Mak UDCommunities & CollectionsTitlesAuthorsBy AdvisorBy Issue DateSubjectsBy TypeThis CollectionTitlesAuthorsBy AdvisorBy Issue DateSubjectsBy Type

    My Account

    LoginRegister

    Statistics

    Most Popular ItemsStatistics by CountryMost Popular Authors

    DSpace 5.8 copyright © Makerere University 
    Contact Us | Send Feedback
    Theme by 
    Atmire NV