Browsing School of Education (SEd.) Collection by Author "KABUGHO, FELESTUS"
-
Uchunguzi linganishi wa nafasi ya mwanamke katika utenzi wa mwana kupona na utamaduni wa kikonzo
KABUGHO, FELESTUS (2021-04-06)Utafiti huu ulihusu uchunguzi linganishi wa nafasi ya mwanamke katika utenzi wa Mwana Kupona na ule katika utamaduni wa Kikonzo. Mwana Kupona ni utungo unaomsawiri mwanamke kuonyesha tabia nzuri kwa mumewe bila tofauti, ...