Kyosimire, Catherine (Makerere University., 2021-05-01)
Utafiti huu ulijadili juu ya taswira za wanamke katika nyimbo za Kiswahili.Tatizo lililojenga utafiti huu ni kutokana na jinsi wanaume wanavyomsawiri mwanamke Katika nyimbo kwa upande hasi na chanya yaani kumkweza ...