Browsing School of Education (SEd.) Collection by Author "Malangahe, Bernadet"
-
Matumizi ya mbinu za lugha katika kuendeleza maudhui katika tamthilia ya kilio cha haki na mizigo
Malangahe, Bernadet (Makerere University, 2021-12)Tamthilia ni utanzu wa fasihi ambao huwasilishwa kupitia mazungumza na uigizaji ili kuwakilisha ujumbe wake. Kulingana na wamitila (2007) huu no utanzu ambao huandikwa mtindo wa mazungumza ya wahusika.