Browsing School of Education (SEd.) Collection by Subject "Mwanamke"
Now showing items 1-4 of 4
-
Kuchanganua taswira na Nafasi ya mwanamke mkaa nyumba katika ngano za waswahili.
(Makerere University., 2023-12-12)Utafiti huu ulihusu mada kuchunguza taswira na nafasi ya mwanamke mkaa nyumba katika ngano za kijamii ya waswahili. Mwanamke ni kiumbe cha kike ambacho kinaaminiwa kuwa kiumbe cha mwanaume na ambacho kinahitajika kubeba ... -
Nafasi ya mwanamke katika ujenzi wa jamii katika riwaya ya Uhasama Kilimani
(Makerere University, 2023-10)Lengo kuu la utafiti: Lengo kuu la utafiti huu ni kuchunguza nafasi ya mwanamke katika ujenzi wa jamii katika riwaya ya Uhasama Kilimani. Malengo mahususi: i). Utafiti huu ulikuwa na malengo mahususi mawili ambayo ni: ... -
Uchunguzi linganishi wa nafasi ya mwanamke katika utenzi wa mwana kupona na utamaduni wa kikonzo
(2021-04-06)Utafiti huu ulihusu uchunguzi linganishi wa nafasi ya mwanamke katika utenzi wa Mwana Kupona na ule katika utamaduni wa Kikonzo. Mwana Kupona ni utungo unaomsawiri mwanamke kuonyesha tabia nzuri kwa mumewe bila tofauti, ... -
Ulinganishaji wa hadhi ya mwanamke Mswahili na Mmeru katika fasihi ya Kiswahili kwa kurejelea tamthilia za Zaribu Chungu na Natala
(Makerere University, 2022-11-04)Utafiti huu unashugulikia kuchambua hadhi ya mwana mke katika tamthilia za zabibu chungu na natala katika hali ya kuchambua suala ya utafitia katika vitabu teule ambayo tulitambua ya kwamba mwanamke amepewa hadhi ya ...