Now showing items 1-1 of 1

    • Usawiri wa wanaume katika nyimbo za mapenzi za kiswahili 

      Chepchumba, Diana (Makerere university, 2022-01)
      Andiko hili la mradi linalenga kuchunguza usawiri wa wanaume katika nyimbo za mapenzi za kiswahili. Mradi huu unalenga kugundua namna wanaume wanavyooneshwa katika nyimbo hizi za kiswahili kama vile mapenzi, mapenzi hisia ...