Show simple item record

dc.contributor.authorBwambale, Biino
dc.date.accessioned2021-03-22T09:24:55Z
dc.date.available2021-03-22T09:24:55Z
dc.date.issued2021-03-12
dc.identifier.citationBwambale, B. (2021). Matumizi ya ushairi katika tamthiliya za kiswahili: kimya kimya, kilio cha haki na mke mwenza. Unpublished undergraduate dissertation. Makerere University, Kampala Uganda.en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12281/9721
dc.descriptionA Dissertation submitted to the department of African Languages in partial fulfilment for the award of a degree of Bachelor Arts with Education of Makerere University.en_US
dc.description.abstractUtafiti huu ulikusudia matumizi ya ushairi katika tamthiliya za Kiswahili. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuonyesha jinsi ushairi unavyo tumiwa katika tamthiliya za kiswahili, na madhumuni mahususi yaani kuonyesha athari zilizopo katika utumishi wa ushairi katika tamthilya, kuchunguza dhima na sababu za kutumia ushairi katika tamthiliya za kiswahili na kuonyesha changamoto zinazokumba utumiaje wa ushairi katika tamthiliya za kiswahili. Utafiti huu pia ulikuwa na maswali kama, ni nini chimbuko lakutumia mashairi katika tamthilia za Kiswahili?, Je, mashairi yameathiri wasomaji wa tamthilia za kiswahili?. Utafiti huu ulifanyiwa katika nchini Uganda hasa katika vitabu vya tamthilia za kiswahili vilivyomo makitabani ya Chuo kikuu Cha Makerere. Utafiti huu ulikuwa na umuhimu wa kusaidia jamii kwa kutambua matumizi ya ushairi katika tamthilia za Kiswahili afrika mashariki, kusaidia mtafiti kukusanya data na kuihifadhi katika maandishi, matokeo ya utafiti huu yatasaidia watafiti wengine kama marejeleo na matokeo ya utafiti huu yalisaidia idara ya lugha na mawasiliano kutambua kuwa mtafiti alienda maktabani. Mbinu mbili za ukusanyaji data zilitumiwa ambazo ni; maktabani na uchunguzi shirikishi. Utafiti huu ulingunduwa kwamba mashairi ya mitumiwa katika tamthilia za Kiswahili katika maendeleo ya fasihi. Utafiti huu ulitoa hitimisho kwamba Ushairi unatumiwa katika tamthiliya za Kiswahili katika Afrika Mashariki na sehemu zingine za dunia inaendelea baada ya kuchunguza hatua ambazo zinaendeleza ushairi wa Kiswahili.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherMakerere University.en_US
dc.titleMatumizi ya ushairi katika tamthiliya za kiswahili: kimya kimya, kilio cha haki na mke mwenza.en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record