dc.contributor.author | Atukkundire, Pamela | |
dc.date.accessioned | 2021-09-01T08:16:54Z | |
dc.date.available | 2021-09-01T08:16:54Z | |
dc.date.issued | 2021-05-17 | |
dc.identifier.citation | Atukundire, P. (2021) Nafasi ya tamathaliza usemi katika mziki. Unpublished undergraduate dissertation Makerere University; Kampala Uganda. | en_US |
dc.identifier.uri | http://hdl.handle.net/20.500.12281/10893 | |
dc.description | Dissertation submitted in partial fulfillment of the requirement for the award of Degree of Bachelor of Arts in Education of Makerere University. | en_US |
dc.description.abstract | Sura ya kwanza inawasilisha usuli wa mada, suala la utafiti, malengo ya utafiti, maswali ya utafiti na umuhimu wa utafiti. Utafiti huu uihusu nafasi ya tamathali za usemi katika mziki kwa kurejelea nyimbo za waimbwji wawili marufuku; Diamond Platinumz kutoka nchini Tanzania na Joseph Mayanja kutoka nchini Uganda. Kwa hivyo niliwasilisha nyimbo nne za kila mwimbaji na kisha tukaainisha jinsi tamathali za usemi zilivyojitokeza. | en_US |
dc.publisher | Makerere University. | en_US |
dc.title | Nafasi ya tamathaliza usemi katika mziki. | en_US |
dc.type | Thesis | en_US |