Show simple item record

dc.contributor.authorKwarakune, Osillia
dc.date.accessioned2022-06-10T12:41:56Z
dc.date.available2022-06-10T12:41:56Z
dc.date.issued2022-01-21
dc.identifier.citationKwarakune, O. (2022). Usawiri wa mwanamke katika tamthilia ya kilio cha haki na chema chajiuza. Unpublished undergraduate dissertation. Makerere University; Kampala-Uganda.en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12281/13034
dc.descriptionA dissertation submitted to the school of Education in partial fulfillment of the requirement for the award of degree of bachelor of Arts with Education of Makerere University.en_US
dc.description.abstractAndiko hili la mradi linalenga kuchunguza usawiri wa mwanamke katika tamthilia ya Kilio cha Haki na Chema Chajiuza. Mradi huu unalenga kugundua namna wanawake wanavyochukuliwa katika tamthilia hizo mbili kwa sababu muda ambao zimepishana ni mwingi sana yaani Kilio cha Haki (1981) na Chema Chajiuza (2018). Lengo la mradi huu limeshughulikiwa ipasavyo baada ya kukusanya data za mradi kwa kutumia mbinu za usomaji makini na upitiaji wa nyaraka. Matokeo ya mradi yamebainishwa kuwa mwanamke amesawiriwa kwa nafasi mbili yaani chanya na hasi kama vile; mlezi, mfanya kazi na bidii Jasiri, mtiifu, mwadilifu, mvumilivu, mwoga, chombo cha kustarehesha mwanamume na kadhaliken_US
dc.language.isootheren_US
dc.titleUsawiri wa mwanamke katika tamthilia ya kilio cha haki na chema chajiuza.en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record