Show simple item record

dc.contributor.authorTaremwa, Benard
dc.date.accessioned2022-08-01T08:54:34Z
dc.date.available2022-08-01T08:54:34Z
dc.date.issued2020-12
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12281/13196
dc.description.abstractSura ya kwanza ilijihusisha na usuli wa mada, suala la utafiti, madhumuni ya utafiti, upeo wa utafiti na changamoto zitakazomkumba mtafiti. Mbinu za sanaa ni ubunifu wa kisanaa unaojitokeza baada ya kusoma au kusikiliza masimulizi. Angalau unapaswa kusoma sentensi kadhaa au hata hadithi nzima ili kutambua mbinu ya sanaa iliyotumika. Kwa mjibu wa Senkoro (2011), ngano ni utanzu wa fasihi simulizi ambao ulipitishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine kwa njia yamdomo. Kwa hivyo mtafiti atashughulikia angalau ngano kumi na mbili tofauti za lugha ya Kiswahili na Kinyankole.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherMakerere Universityen_US
dc.subjectKiswahili languageen_US
dc.subjectKinyankore languageen_US
dc.subjectArt educationen_US
dc.titleMatumizi ya mbinu za sanaa katika ngano za lugha ya Kiswahili na lugha ya Kinyankoleen_US
dc.title.alternativeThe use of art techniques in Swahili and Kinyankole languagesen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record