Show simple item record

dc.contributor.authorMucunguzi, Joan
dc.date.accessioned2023-01-03T15:06:16Z
dc.date.available2023-01-03T15:06:16Z
dc.date.issued2022-10-25
dc.identifier.citationMucunguzi, J. (2022). Kulinganisha Maudhui ya ukoloni katika tamthilia ya Mzalendo Kimathi na Kilio Cha Haki (Unpublished undergraduate dissertation). Makerere University, Kampala Ugandaen_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12281/13847
dc.descriptionTasinifu ya utafiti iliyowasilishwa katika idara ya lugha za kiAfrika kutimiza baadhi ya mahitaji ya shahada ya Kwanza ya chuo kikuu Cha Makerereen_US
dc.description.abstractTamthilia ni utanzu wa fasihi ambao huwasilisha ujumbe wake kwa njia ya usimulizi ama kimaandishi. Kwa mujibu wa Wamitila (2007), huu ni utanzu ambao huandikwa kwa mtindo wa mazugumzo ya wahusika. Tamthlia ambazo tuliteua zilibeba maudhui ya ukoloni ndani yaani Mzalendo Kimathi na Kilio Cha Haki. Aidha, Wamitila anasema kwamba maudhui ni jumla ya mambo yote yanayozungmziwa katika kazi ya kifasihi. Katika utafiti huu tutachunguza maudhui ya utawala ya kikoloni kwa kulinganisha tamthiliya ya Mzalendo Kimathi na ya Kilio cha Haki ili kugundua usawili wa ukoloni katika kazi hizi za Fasihi. Fasihi ni sanaa inayotumia lugha bunifu ili kueleza tajriba mbalimbali za maisha ya wanajamii. Njogu na Chimerah (1999) wanaeleza kuwa fasihi inawasilisha hali, mwingiliano, mivutano na mikinzano miongoni mwa binadamu na mazingira yake. Utafiti huu unahusu ulinganishaji wa maudhui ya utawala ya Kikoloni katika tamthilia mbili za Kiswahili. Hapa tunachunguza jinsi waandishi wa tamthilia walivyosawiri maudhui ya ukoloni katika kazi zao za fasihi.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherMakerere Universityen_US
dc.subjectUkolonien_US
dc.subjectMzalendo Kimathien_US
dc.subjectKilio Cha Hakien_US
dc.titleKulinganisha Maudhui ya ukoloni katika tamthilia ya Mzalendo Kimathi na Kilio Cha Hakien_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record