Show simple item record

dc.contributor.authorKarugaba, Francis
dc.date.accessioned2023-01-24T09:07:16Z
dc.date.available2023-01-24T09:07:16Z
dc.date.issued2023-01-18
dc.identifier.citationKarugaba, F. (2023). KUCHANGANUA KILIO CHA HAKI KAMA TAMTHILIA YA KITANZIA. (Unpublished Undergraduate Dissertation). Makerere University, Kampala, Uganda.en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12281/14745
dc.descriptionA dissertation submitted to the College of Education and External Studies in partial fulfillment of the requirements for the award of the degree of Bachelor of Arts with Education of Makerere University. (MATINI YA UTAFITI ITAKAYOWASILISHWA KATIKA KITIVO CHA ELIMU KUTOSHELEZA BAADHI YA MAHITAJI YA KUKAMILISHA SHAHADA YA UALIMU YA CHUO KIKUU CHA MAKERERE.)en_US
dc.description.abstractMakala hii, imenuia kuchanganua udhihirikaji wa utanzia katika tamthilia iliyoandikwa na A. Mazrui. Lengo la utafiti huu ni kuchanganua Kilio cha Haki kama tamthilia ya kitanzia. Dhana ya utanzia katika makala hii ina maana ya, matendo au mazingira yanayozua jitimai, majonzi, masikitiko, majuto na maumivu ya mwili, roho au akili. Utanzia unajengwa na hali kama vile vifo, ajali, vifungo, mabalaa, ulemavu, vilio, maradhi, njaa na mateso. Ila hakuna uchunguzi wa kutosha kuhusu matumizi ya utanzia katika kazi za fasihi ya Kiswahili. Hali hii imesababisha tatizo katika kuzielewa kazi mbalimbali za fasihi ya kiswahili. Utafiti huu ulifanyika mtandaoni, maktabani na kuyaduru mapitio ya maandishi mbalimbali kama vile tahakiki, makala na vitabu. Utafiti ulitumia nadharia ya uhalisia wa kijamii. Uchambuzi wa data uliegemea nadharia hii katika maelezo.en_US
dc.description.sponsorshipGovernment of Ugandaen_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherMakerere Universityen_US
dc.subjectTAMTHILIA YA KITANZIAen_US
dc.subjectKiswahili literatureen_US
dc.subjectJusticeen_US
dc.subjectKiswahili dramaen_US
dc.titleKUCHANGANUA KILIO CHA HAKI KAMA TAMTHILIA YA KITANZIAen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record