Aryahebwa, Chriscent (Makerere University, 2023-09)
Lengo la utafiti. Lengo kuu la utafiti: Kueleza umuhimu na mchango wa jinsia ya kike (mwanamke) katikaharakati za kukomboa wanajamii kutoka kwa maovu wanawotendewa na wale wanaowatawala. Malengo mahususi: Kulinganisha ...