Kwarakune, Osillia (2022-01-21)
Andiko hili la mradi linalenga kuchunguza usawiri wa mwanamke katika tamthilia ya Kilio cha Haki na Chema Chajiuza. Mradi huu unalenga kugundua namna wanawake wanavyochukuliwa katika tamthilia hizo mbili kwa sababu muda ...