Browsing College of Education and External Studies (CEES) by Author "Kwarikunda, Denis"
-
Athari zinazomkumba mwanamke mkombozi katika maendeleo ya jamii: mfano wa tamthilia ya kilio cha haki (1981) na mama ee (1987)
Kwarikunda, Denis (Makerere University, 2023-11)Katika sura hii ya kwanza, utafiti huu, ulijadili masuala yafuatayo kama vile: usuli wa utafiti, suala la utafiti, malengo ya utafiti, maswali ya utafiti na umuhimu wa utafiti. Vilevile ulichambua misingi ya kinadharia. ...