Mogona, Atunga Lawrence (Makerere University, 2023-01-17)
Utafiti huu unahusu,Kuchambua Historia na maendeleo ya Riwaya za Kiswahili Nchini Uganda kuanzia Mwaka wa 2005-Sasa.Katika Sekta ya Elimu .Pia Utafiti huu Umedadavua Kwa Undani Changamoto Ambazo waandishi Wa Riwaya za ...