Search
Now showing items 1-3 of 3
Athari za matamshi ya Kinyankore katika ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili katika shule za upili wilayani Ntungamo, kusini -magharibi mwa Uganda
(Makerere University, 2023-09)
Malengo ya Utafiti. Lengo Kuu: Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchanganua athari za matamshi ya Kinyankore katika ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili katika shule za upili wilayani Ntungamo, Kusini-Magharibi mwa Uganda. ...
Mchango wa nyimbo katika ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili
(Makerere University, 2023-09)
Malengo: Lengo kuu: Kugundua namna au jinsi nyimbo za kiswahili zinavyosaidia katika ujifunzaji wa lugha ashirafu ya kiswahili. Malengo mahususi: 1. Kutambua aina tofauti tofauti za nyimbo za kiswahili. 2. Kufafanua namna ...
Mtindo kama unavyojidhihirisha katika tamthilia ya mkwamo
(Makerere University, 2023-10)
Lengo kuu la utafiti huu ni kubainisha vipengele vya mtindo katika tamthilia ya Mkwamo. Malengo mahususi ya utafiti huu ni kubaini mtindo mbalimbali unavyojitokeza katika tamthilia ya Mkwamo. Kufafanua jinsi mtindo ...