Browsing School of Education (SEd.) by Subject "Kiswahili"
Now showing items 1-15 of 15
-
Athari ya lugha ya kwanza katika ujifunzaji wa insha za Kiswahili kwa wasomi wa kidato cha tatu nchini Uganda
(Makerere University, 2021)The importance of the first language in the studying of Kiswahili Language. The researcher found out different ways of how the first language have influenced the study of composition writing amongst students of senior three ... -
Athari za kifonolojia za kinyankore katika kujifunza katika kiswahili, mintarafu stadi ya kusoma
(Makerere University, 2022-03)Awali ya yote anayestahiki kushukuriwa ni Mwenyezi, Mungu kwa kuniumba, kunikuza na kunipa afya nzuri, uvumilivu, busara na hekima ya kufanya kazi hii hadi kuimaliza. NamwombaMungu anijalie ziada za kheri. Pili, shukrani ... -
Athari za lugha ya Kimeru katika ufundishaji wa maneno ya mkopo katika Kiswahili
(Makerere University, 2022-11-30)Athari ya Lugha ya Kimeru katika ufundishaji wa maneno ya Kiswahili kwa kuangalia yale maneno ambayo ni ya mkopo katika lugha ya Kimeru na jinsi yameadhiri ufundishaji wa lugha ya Kiswahili -
Athari za matamshi ya Kinyankore katika ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili katika shule za upili wilayani Ntungamo, kusini -magharibi mwa Uganda
(Makerere University, 2023-09)Malengo ya Utafiti. Lengo Kuu: Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchanganua athari za matamshi ya Kinyankore katika ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili katika shule za upili wilayani Ntungamo, Kusini-Magharibi mwa Uganda. ... -
Dhima ya tafsiri katika ujifunzaji wa Kiswahili kama lugha ya pili katika shule za sekondari nchini Uganda
(Makerere University, 2020)Utafii huu ulichunguza namna tafsiri inavyowezekana kufanikisha Ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili Kama lugha ya pili katika shule za upili za sekondari chini Uganda. Utafiti huu umezingatia hali na mazingira ambapo kutafsiri ... -
Matumizi ya mbinu za tashbihi na jazanda katika tamthilia za Kiswahili
(Makerere University, 2020-12)Lengo la jumla: Kutathmini mbinu ya tashbihi na jazanda katika tamthilia teule ili kubaini vipengele vinavyotofautiana na vinavyofanana katika kutumia lugha ili kufikisha ujumbe katika mkabala wa fasihi linganishi. Malengo ... -
Mchango wa nyimbo katika ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili
(Makerere University, 2023-09)Malengo: Lengo kuu: Kugundua namna au jinsi nyimbo za kiswahili zinavyosaidia katika ujifunzaji wa lugha ashirafu ya kiswahili. Malengo mahususi: 1. Kutambua aina tofauti tofauti za nyimbo za kiswahili. 2. Kufafanua namna ... -
Mchango ya midahalo katika ufundishaji wa lugha ya Kiswahili
(Makerere University, 2022-02)Kuchunguza michango ya midahalo katika ufundishaji wa lugha ya kiswahili -
Mtindo kama unavyojidhihirisha katika tamthilia ya mkwamo
(Makerere University, 2023-10)Lengo kuu la utafiti huu ni kubainisha vipengele vya mtindo katika tamthilia ya Mkwamo. Malengo mahususi ya utafiti huu ni kubaini mtindo mbalimbali unavyojitokeza katika tamthilia ya Mkwamo. Kufafanua jinsi mtindo ... -
Uchambuzi wa tamthilia ya Mkwamo na Kilio Cha Haki kwa kutumia nadharia ya Umaksi
(Makerere University, 2022-11-29)Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa uchambuzi wa Tamthilia ya Mkwamo na Kilio cha Haki kwa kutumia Nadharia ya Umaksi. Malengo mahususi ya utafiti huu yalikuwa ni; udhihirishaji wa matumizi ya nadharia ya Umaksi katika ... -
Ukarimu wa lugha ya kiswahili katika nyanja a Biashara.
(Makerere University, 2022-02-17)Naitabaruku kazi hii kwa wazazi wangu wapendwa Bw. Saipuma Edson na Mama wangu Bi. Masika Moreen kwa imani waliyo nayo katika uwezo wangu. Pia kwa watu wengine walionisaidia kwa kujitolea ilinifanikishe masomo yangu. -
Ulinganishaji wa hadhi ya mwanamke Mswahili na Mmeru katika fasihi ya Kiswahili kwa kurejelea tamthilia za Zaribu Chungu na Natala
(Makerere University, 2022-11-04)Utafiti huu unashugulikia kuchambua hadhi ya mwana mke katika tamthilia za zabibu chungu na natala katika hali ya kuchambua suala ya utafitia katika vitabu teule ambayo tulitambua ya kwamba mwanamke amepewa hadhi ya ... -
Ulinganishaji wa methaliza kiswahili na kinyankole katika kiwango cha sintaksia
(Makerere University, 2022-10)Ulinganishaji wa methaliza kiswahili na kinyankole katika kiwango cha sintaksia -
Ulinganishi wa nahau za Kiswahili na za Kingereza Kisemantic
(Makerere University, 2020)Katika utafiti huu, mtafiti alijitahidi kushughulikia maarifa yanayohusu tofauti na mfanano uliyopo kati ya Nahau za Kiswahili na za Kingereza kwa kuegemea upande wa semantiki. Tasnifu hii itakuwa katika sehemu tatu -
Usawiri wa mwanamke wa kisasa katika tamthilia teule za Kiswahili Kwenye Ukingo wa Thim (1988) na Mama Ee (1987): [Analysis of how the contemporary woman is portrayed in the novels "Kwenye Ukingo wa Thim (1988)" by Said A. Mohamed and "Mama Ee (1987)" by Ali Katini Mwachfu.]]
(Makerere University, 2022-11-07)Lengo kuu: Lengo kuu la utafiti huu ni kuchunguza usawiri wa mwanamke wa kisasa katika tamthilia teule za Kiswahili Kwenye Ukingo wa Thim (1988) na Mama ee (1987). Malengo Mahususi: (i) Kutathmini namna mwanamke ...