Browsing School of Education (SEd.) by Subject "Plays"
Now showing items 1-4 of 4
-
KULINGANISHA USAWIRI WA MWANAMKE KATIKA TAMTHILIA YA MAMA EE NA CHEMA CHAJIUZA
(Makerere University, 2022-11-22)Utafiti huu umeshughulikia kulinganisha usawiri wa mwanamke katika tamthilia Mama Ee na Chema Chajiuza. Utafiti huu umeshughulikia kuchunguza usawiri wa mwanamke katika tamthilia Mama Ee na tamthilia Chema Chajiuza. Utafiti ... -
Matumizi ya mbinu za lugha katika kuendeleza maudhui katika tamthilia ya kilio cha haki na mizigo
(Makerere University, 2021-12)Tamthilia ni utanzu wa fasihi ambao huwasilishwa kupitia mazungumza na uigizaji ili kuwakilisha ujumbe wake. Kulingana na wamitila (2007) huu no utanzu ambao huandikwa mtindo wa mazungumza ya wahusika. -
UCHANGANUZI WA TAMTHILIA YA MFALME EDIPODE KAMA KAZI YA UHALISIAJABU
(Makerere University, 2023-02-10)Matini hii inahusu uhalisiajabu katika tamthilia ya Mfalme Edipode ya Sofokile. Katika matini hii nimechunguza uhalisiajabu katika kiwango cha wahusika na mandhari katika tamthilia hii nikiongozwa na nadharia ya Uhalisiajabu. ... -
Ulinganishaji wa maudhui kisiasa katika tamthilia ya kilio cha hiki (1981) na kimya kimya (2011): [a comparison of the political content in the play Cry of Justice (1981) and Silence]
(Makerere University, 2022)Malengo ya utafiti. Utafiti wowote kufanikiwa, lazima uwe na malengo fulani. Malengo ya utafiti huu. Lengo Kuu. i) Kuchunguza Maudhui ya kisiasa yanayojitokeza katika tamthilia ya Kilio cha Haki na Kimya Kimya. ii) Malengo ...