Search
Now showing items 131-140 of 190
Performance strategies of Ankole folktales and their artistic values
(Makerere University, 2022-09)
This study was conducted among the Banyankole in south western Uganda. Performance strategies in Ankole folktales was collected and analyzed to find out the artistic value gained in the use of these performance strategies ...
Athari za lugha ya Kitagwenda katika kujifunza matamshi ya lugha ya Kiswahili
(Makerere University, 2022-11)
Lengo kuu la utafiti huu ni kujua jinsi ambavyo mzungumzaji wa lugha ya Kitagwenda anayejifunza lugha ya kiswahili anavyoathiriwa na lugha yake mama katika mchakato mzima wa kujifunza lugha ya kiswahili sanifu. Utafiti huu ...
Athari za uchumi katika ukombozi wa mwanamke: riwaya ya Msururu wa usaliti na riwaya ya Nyota ya Rehema.
(Makerere University, 2022-11)
Katika sura hii ya kwanza, kwa jumla ilizungumzia juu ya vipengele muhimu kama utangulizi wa utafiti, usuli wa mada ya utafiti, tatizo ya mada ya utafiti, malengo ya utafiti, maswali ya utafiti, umuhimu wa utafiti, msingi ...
Ulinganishaji wa hadhi ya mwanamke Mswahili na Mmeru katika fasihi ya Kiswahili kwa kurejelea tamthilia za Zaribu Chungu na Natala
(Makerere University, 2022-11-04)
Utafiti huu unashugulikia kuchambua hadhi ya mwana mke katika tamthilia za zabibu
chungu na natala katika hali ya kuchambua suala ya utafitia katika vitabu teule ambayo
tulitambua ya kwamba mwanamke amepewa hadhi ya ...
Athari za lugha ya Kimeru katika ufundishaji wa maneno ya mkopo katika Kiswahili
(Makerere University, 2022-11-30)
Athari ya Lugha ya Kimeru katika ufundishaji wa maneno ya Kiswahili kwa kuangalia yale maneno ambayo ni ya mkopo katika lugha ya Kimeru na jinsi yameadhiri ufundishaji wa lugha ya Kiswahili
Nafasi ya mwanamke mwisilamu katika fasihi ya Kiswahili
(Makerere University, 2022-11)
Nafasi ya Mwanamke Mwisilamu katika Fasihi ya Kiswahili inaongea kwa Mwanamke mwisilamu katika jamii mbali mbali huwa ana nafasi yake maalumu, na nafasi yake huwa inaendana na namna ya jamii yake inavyompa thamani kiumbe ...
Matumizi ya ushairi katika Riwaya ya Mama ee
(Ashaba Ritah, 2022-11)
Utafiti huu unazungumzia juu ya matumizi ya mashairi katika tamthilia ya mama ee na Ari Katin Mwachofi. Ilihusu baadhi ya istilahi za kishairi ambazo mwandishi wa tamthilia ya mama ee alizotumia katika uandishi wake.
Kulinganisha mtindo wa vitendawili vya kiswahili na Kinyankole
(Makerere University, 2022-12)
Kugundua uhusiano uliopo baina ya vitendawili vya lugha ya Kiswahili na vya Kinyankole. Kugundua utofauti uliopo baina ya vitendawili vya lugha ya Kiswahili na vya Kinyankole.
Imagery in folktales among the Jopadhola
(Makerere University, 2022-01)
The case study here in presents the analysis on imagery in the selected jopadhola folktales
exhibiting how they are employed in different folktales that are to be looked in later chapters, their
relevancy and effectiveness ...
Structure and electronic properties of Titanium Dioxide.
(SINZABAKWIRA ABDALAH, 2022-11-10)
Titanium dioxide is an oxide of titanium element which is a group four element with a total number of electrons of 22, number of neutrons 26 and number of protons 22. In this study, I used the theorem called the density ...