Browsing Academic submissions (CEES) by Author "Aminga, Deborah"
-
Usawiri wa wahusika vijana(wavulana na wasichana) katika riwaya za kufa kuzikana, kidagaa kimemwozea na nyota ya rehema
Aminga, DeborahTasnifu hii imeonyesha usawiri wa wahusika vijana wavulana na wasichana katika riwaya za Kufa Kuzikana, Kidagaa kimemwozea na Nyota ya Rehema. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya uyakinifu wa kijamii ambao unajihusisha ...