Browsing School of Education (SEd.) Collection by Type
Now showing items 421-440 of 696
-
Mikondo ya maudhui na mafunzo katika ngano za Kiswahili na kinyankole
(Makerere University., 2021-02-14) -
Motivation and employee performance in Governments: A case study of Buyende District Local Government
(Makerere University, 2022-11-17)The main purpose of the study was to investigate on motivation and employee performance taking Buyende District Local Government as the case study. The objectives of the study were; to examine the motivation tools used in ... -
Mpororo prototype.
(Makerere University, 2023-06-30)"I think you travel to search and you come back home to find yourself there," Chimamanda Ngozi Adichie. Having travelled miles through pages of the remarkable authors and orators as Chinua Achebe, Chimamanda Ngozi Adichie, ... -
Mtindo kama unavyojidhihirisha katika tamthilia ya mkwamo
(Makerere University, 2023-10)Lengo kuu la utafiti huu ni kubainisha vipengele vya mtindo katika tamthilia ya Mkwamo. Malengo mahususi ya utafiti huu ni kubaini mtindo mbalimbali unavyojitokeza katika tamthilia ya Mkwamo. Kufafanua jinsi mtindo ... -
Muvubuka
(Makerere University, 2023-10)Muvubuka has mastered all the theory and content his university course had to offer. He fronted his books, primed his studies, led his class and succeeded at that. Out of school, waiting are more precious lessons about ... -
Nafasi ya tamathaliza usemi katika mziki.
(Makerere University., 2021-05-17)Sura ya kwanza inawasilisha usuli wa mada, suala la utafiti, malengo ya utafiti, maswali ya utafiti na umuhimu wa utafiti. Utafiti huu uihusu nafasi ya tamathali za usemi katika mziki kwa kurejelea nyimbo za waimbwji wawili ... -
Nafasi ya elimu katika ukombozi wa mwanamke : mfano katika riwaya ya Nyuso za Mwanamke
(Makerere University, 2023)Lengo kuu la utafiti huu kulingana na mada ya utafiti lilikuwa kuchunguza nafasi ya elimu katika ukombozi wa mwanamke katika riwaya ya Nyuso za Mwanamke. Vilevile, utafiti huu uliongozwa na malengo makuu mawili ambayo ni; ... -
Nafasi ya methali na misemo katika ujenzi wa maudhui katika tamthilia za kiswahili; mfano wa tamthilia za mzalendo kimathi na kilio cha haki
(Makerere university, 2022-05-03)Utafiti huu unahusu Nafasi ya methali na misemo katika ujenzi wa maudhui katika tamthilia za kiswahili; mfano wa tamthilia za mzalendo kimathi na kilio cha haki. Lengo kuu la Utafiti huu ni kunachunguza nafasi ya misemo ... -
Nafasi ya mwanamke katika riwaya za ken walibora.
(Makerere University., 2021-04-20) -
Nafasi ya mwanamke katika tamthilia ya mama ee na kwenye ukingo wa thim. AFASI YA MWANAMKE KATIKA TAMTHILIA YA MAMA EE NA KWENYE UKINGO WA THIM
(Makerere University., 2021-03-11) -
Nafasi ya mwanamke katika ujenzi wa jamii katika riwaya ya Uhasama Kilimani
(Makerere University, 2023-10)Lengo kuu la utafiti: Lengo kuu la utafiti huu ni kuchunguza nafasi ya mwanamke katika ujenzi wa jamii katika riwaya ya Uhasama Kilimani. Malengo mahususi: i). Utafiti huu ulikuwa na malengo mahususi mawili ambayo ni: ... -
Nafasi ya mwanamke katika ukombozi wa jamii: mfano wa tamthilia; Kimya kimya kimya na Chema chajiuza
(Makerere University, 2023-10)Lengo kuu la utafiti huu kulingana na mada ya utafiti lilikuwa kuchunguza nafasi ya mwanamke katika ukombozi wa jamii kwa kupata mifano kutoka tamthilia za Kimya Kimya Kimya na Chema Chajiuza. Vilevile, utafiti huu uliongozwa ... -
Nafasi ya mwanamke mwisilamu katika fasihi ya Kiswahili
(Makerere University, 2022-11)Nafasi ya Mwanamke Mwisilamu katika Fasihi ya Kiswahili inaongea kwa Mwanamke mwisilamu katika jamii mbali mbali huwa ana nafasi yake maalumu, na nafasi yake huwa inaendana na namna ya jamii yake inavyompa thamani kiumbe ... -
Nafasi ya tamthilia kivuli kinaishi na janga la werevu kwa uongozi mji wa busia.
(Makerere University, 2020-10)Utafiti huu unahusu nafasi ya tamthilia Kivuli Kinaishi na Janga la Werevu kwa uongozi wa mji wa Busia. Utafiti huu utajikota katika kusawiri uongozi uliopo mji wa Busia ukilinganishwa na mtazamo wa mwandishi Said A.Mohamed ... -
Nanyuti, C., Nabasirye, M.A., Ssentongo, M. (2023). ENTEGEERA Y'EKIMIIMO "LITERACY" MU BOOGEZI B'OLULIMI OLUGANDA MU KITUNDU KY'E NANSANA. (Unpublished Undergraduate Dissertation). Makerere University, Kampala, Uganda.
(2022-01)Mu kuwumbawumba, twakizuula nti ekimiimo “literacy” mu Luganda tekisaanidde kuyitibwa “buyivu”. Kino twakituukako olw’engeri abantu abasinga gye baalwangawo okukituukako newankuadde twabibuulizanga kumu obuyivu nga tukigattako ... -
Never lose hope
(Makerere University, 2023-11-08)Nekesa, a mother of two is abandoned by her husband, Anthony who is lured by her best friend. She is consequently forced to venture into the field of single parenting hence becoming a single mother. Anthony abandons his ... -
Nirdrige zahl der deutsch-sprachigen in Uganda
(Makerere University, 2024-05-08)Die Studie sollte mit den Gründen oder Ursachen für eine geringe Anzahl von Deutschsprachigen in Uganda umgehen. Dies wurde getan, indem man sich die Orte ansah, an denen Deutsch als Sprache gemacht wird, und indem man ... -
Nnakongeza linnya nga zigatiddwako enzirugaze n'omugaso gwa zonga zigatiddwako.
(Makerere University, 2021-08)Mu mulimu gunno twolese abawandiisi ab'enjawulo abannyonyola ku nzirugaze n'engeri gyezikozesebwamu. Mulimu ebiwandiiko ebyenjawulo byetwesigamyeeko mukunoonyereza kuno nga mu ebyo mwemuli engero empanvu nga zinnunula ... -
The notion of work in Ankole folktales
(Makerere University, 2023-08)This study explores the theme of work in Ankole folktales, with a focus on how work is portrayed and valued in these narratives. Drawing on a selection of folktales collected from the Ankole region of Uganda, the study ... -
Notions of hard work in the folktales of the Bakiga.
(Makerere University, 2020-12-17)This study focuses on the contemporary society, a generation that needs to be reminded about the importance of hardworking that is seen through oral literature forms like Falktales, fables, proverbs and songs which their ...