Browsing School of Education (SEd.) Collection by Subject "Kiswahili language"
Now showing items 1-4 of 4
-
Athari za lafudhi ya Kinyankore katika ujifunzaji wa lugha ya Kinyankore nchini Uganda
(Makerere University, 2023-10-26)This work is about the effects Runyankore accent in the learning of Kiswahili in Uganda. The major aim of this research was to ascertain the effects of Runyankore in teaching Kiswahili. Another aim was to find ways on how ... -
Matumizi ya lugha ya Kiswahili katika ufunzaji na ujifunzaji wa shule za upili nchini Uganda
(Makerere University, 2022-05-02)Sura ya kwanza ilijihusisha na usuli wa mada, suala la utafiti, madhumuni ya utafiti, upeo wa utafiti na changamoto zilizomkumba mtafiti.Matini hii ilihusu mada ambayo ni Matumizi ya lugha ya Kiswahili katika ufunzaji na ... -
Matumizi ya mbinu za sanaa katika ngano za lugha ya Kiswahili na lugha ya Kinyankole
(Makerere University, 2020-12)Sura ya kwanza ilijihusisha na usuli wa mada, suala la utafiti, madhumuni ya utafiti, upeo wa utafiti na changamoto zitakazomkumba mtafiti. Mbinu za sanaa ni ubunifu wa kisanaa unaojitokeza baada ya kusoma au kusikiliza ... -
Mtindo kama unavyojidhihirisha katika tamthilia ya mkwamo
(Makerere University, 2023-10)Lengo kuu la utafiti huu ni kubainisha vipengele vya mtindo katika tamthilia ya Mkwamo. Malengo mahususi ya utafiti huu ni kubaini mtindo mbalimbali unavyojitokeza katika tamthilia ya Mkwamo. Kufafanua jinsi mtindo ...