Browsing School of Education (SEd.) Collection by Subject "Riwaya"
Now showing items 1-3 of 3
-
Kutathimini mabadiliko ya usawiri wa mwanamke katika jamii yetu kwa kurejelea riwaya ya Nyota ya Rehema.
(Makerere University, 2023-09-27)Utafiti huu ulizingatia vipengele muhimu vifuatavyo: Utangulizi, Usuli wa mada, Tatizo la utafiti, Malengo ya utafiti, Mapitio ya mandishi, umuhimu wa utafiti, nadharia ya utafiti, maswali ya utafiti, mbinu za utafiti, ... -
Nafasi ya mwanamke katika ujenzi wa jamii katika riwaya ya Uhasama Kilimani
(Makerere University, 2023-10)Lengo kuu la utafiti: Lengo kuu la utafiti huu ni kuchunguza nafasi ya mwanamke katika ujenzi wa jamii katika riwaya ya Uhasama Kilimani. Malengo mahususi: i). Utafiti huu ulikuwa na malengo mahususi mawili ambayo ni: ... -
Tathmini riwaya ya nagona kwa kutumia nadharia ya uhalisiajabu na
(Makerere University, 2022-01)Kuthibitisha ukweli kwamba kezilahabi anaegemea nadharia ya uhalisiajabu katika riwaya ya Nagona.