Browsing School of Education (SEd.) Collection by Type
Now showing items 641-660 of 696
-
Touch detector.
(Makerere University., 2021-04-21)A capacitive-type touch sensor for detecting the touch position and touch load, simultaneously, is designed and manufactured using transparent electrode material. Generally, a touch sensor senses only the touch position. ... -
The trickster in selected Runyankore.
(Makerere University, 2023-10-19)Folktales as a vital form of oral literature encompass the traditions common to the people of the diverse cultures throughout the African continent not only in Uganda using the oral narratives from generation to generation. ... -
Uchambuzi wa jinsi mbinu za lugha zinavyoendeleza maudhui ya utengano katika riwaya ya utengano.
(Makerere University., 2022-01-16) -
Uchambuzi wa maudhui ya imani na dini katika tamthilia ya mfalme edipode (1967) [The analysis about the effect of beliefs and religion in play of King Edipode( 1967).
(Makerere University., 2021-05-02)Utafiti huu ulihusu uchambuzi wa maudhui ya imani na dini katika tamthilia ya mfalme Edipode (1967). Maudhui ni jumla ya mawazo yote yanayoelezwa katika kazi ya fasihi pamoja na mtazamo wamwandishi juu ya mawazo hayo. ... -
Uchambuzi wa mbinu za kufundisha ushairi katka shule za sexodari nchini Uganda.
(Makerere University, 2022-11-22)This research is about the teaching techniques of poetry in secondary schools in Uganda. Poetry is a form of literature that evokes a concentrative imaginative awareness of experience or a specific emotional response through ... -
Uchambuzi wa tamthilia ya Mkwamo na Kilio Cha Haki kwa kutumia nadharia ya Umaksi
(Makerere University, 2022-11-29)Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa uchambuzi wa Tamthilia ya Mkwamo na Kilio cha Haki kwa kutumia Nadharia ya Umaksi. Malengo mahususi ya utafiti huu yalikuwa ni; udhihirishaji wa matumizi ya nadharia ya Umaksi katika ... -
Uchanganuzi wa dhana ya udhanaishi katika riwaya za Kiswahili: Mzingile, Nguvu ya Sala na Babu Alipofufuka
(Makerere University, 2024-07)Utafiti huu ulinuia kuchunguza maneno na matendo ya wahusika katika riwaya tatu za waandishi wawili tofauti; Euphrase Kezilahabi na Said Ahmed Mohamed ambazo ni Mzingie, Nguvu ya Sala na Babu Alipofufuka kwa msingi na ... -
UCHANGANUZI WA TAMTHILIA YA MFALME EDIPODE KAMA KAZI YA UHALISIAJABU
(Makerere University, 2023-02-10)Matini hii inahusu uhalisiajabu katika tamthilia ya Mfalme Edipode ya Sofokile. Katika matini hii nimechunguza uhalisiajabu katika kiwango cha wahusika na mandhari katika tamthilia hii nikiongozwa na nadharia ya Uhalisiajabu. ... -
Uchunguzi wa Matumizi ya Kiswahili katika Ufunzaji wa shule za chekechea katika Manispaa ya Webuye, Kenya
(Makerere University, 2024-04-12)The main purpose of this study was to investigate the use of Kiswahili in teaching and learning at the Preschool level. The research was carried out in Webuye Municipality, Bungoma East District of Western Province in ... -
UCHUNGUZI WA STIARI KATIKA RIWAYA YA UHASAMA KILIMANI NA RIWAYA YA UCHUNGU WA MWARIDI
(Makerere University, 2022-11-29)Lengo kuu la utafiti huu ni kuchanganua matumizi ya sitiari katika Riwaya ya Uhasama Kilimani na Riwaya ya Uchungu wa Mwaridi.Malengo mahususi ya utafiti huu ni kubaini utokeaji wa sitiari mbalimbali katika riwaya ya Uhasama ... -
Uhusiano wa kimuundo katika mashairi ya kiswahili na ya kinyankole na utenda kazi wake katika ujifunzaji wa kiswahili.
(Makerere University, 2022-11)Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa kuchunguza uhusiano wa kimuundo katika mashairi ya Kiswahili na ya Kinyankore na utendajikazi wake katika ujifunzaji wa Kiswahili. Malengo Mahsusi ni Kubaini muundo wa mashairi ya lugha ... -
Ukarimu wa lugha ya kiswahili katika nyanja a Biashara.
(Makerere University, 2022-02-17)Naitabaruku kazi hii kwa wazazi wangu wapendwa Bw. Saipuma Edson na Mama wangu Bi. Masika Moreen kwa imani waliyo nayo katika uwezo wangu. Pia kwa watu wengine walionisaidia kwa kujitolea ilinifanikishe masomo yangu. -
Ulinganishaji na ulinganuaji wa tamthilia ya kivuli kinaishi (1990) na kimya (2011) katika mtazamo wa umaksi (similarities and differences between plays of Kivuli Kinaishi and Kimya according to Umaksi.)
(2021-05-26)Utafiti huu ulihusu ulinganishaji na ulinganuaji wa tamthilia ya Kivuli Kinaishi(1990) na Kimya(2011) Katika mtazamo wa umaksi. Maudhui ni jumla ya mawazo yote yanayoelezwa katika kazi ya fasihi pamoja na mtazamo wa mwandishi ... -
Ulinganishaji wa hadhi ya mwanamke Mswahili na Mmeru katika fasihi ya Kiswahili kwa kurejelea tamthilia za Zaribu Chungu na Natala
(Makerere University, 2022-11-04)Utafiti huu unashugulikia kuchambua hadhi ya mwana mke katika tamthilia za zabibu chungu na natala katika hali ya kuchambua suala ya utafitia katika vitabu teule ambayo tulitambua ya kwamba mwanamke amepewa hadhi ya ... -
Ulinganishaji wa maudhui kisiasa katika tamthilia ya kilio cha hiki (1981) na kimya kimya (2011): [a comparison of the political content in the play Cry of Justice (1981) and Silence]
(Makerere University, 2022)Malengo ya utafiti. Utafiti wowote kufanikiwa, lazima uwe na malengo fulani. Malengo ya utafiti huu. Lengo Kuu. i) Kuchunguza Maudhui ya kisiasa yanayojitokeza katika tamthilia ya Kilio cha Haki na Kimya Kimya. ii) Malengo ... -
Ulinganishaji wa maudhui ya ufisadi katika riwaya ya vipuli vya figo na jamii halisi
(Makerere University., 2021-04-12) -
Ulinganishaji wa methaliza kiswahili na kinyankole katika kiwango cha sintaksia
(Makerere University, 2022-10)Ulinganishaji wa methaliza kiswahili na kinyankole katika kiwango cha sintaksia -
Ulinganishaji wa nyimbo za Kinyankore na Kiswahili
(Makerere University, 2020-12)My research has been conducted to compare the Runyankore and Kiswahili songs especially the worship songs. It’s specifically about improving the literature in both languages through songs. A song is an arrangement of words ... -
ULINGANISHAJI WA UJAGINA WA WAHUSIKA WANAWAKE KATIKA RIWAYA YA UTENGANO NA ILE YA MSURURU WA USALITI
(Makerere University, 2023-01-25)Utafiti huu ulihusu ulinganishaji wa ujagina wa wahusika wanawake baina ya riwaya zaUtengano na Msururu wa Usaliti.Mada hii imefungamana vizuri na lengo la utafiti huulililovunjwa katika malengo mahususi .Malengo hayani ... -
Ulinganishaji wa uundaji nomino za lugha ya Kiswahili na lugha ya Runyankole kutoka vitenzi
(Makerere University., 2019-11-26)Kwanza kabisa, ninapenda kumshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa rehema ambaye amenisaidia na amenibariki katika kufanikisha kazi yangu hii. Shukurani zangu za pekee zimwendee msimamizi wangu wa utafiti huu Dktr. Masengo ...