Browsing School of Education (SEd.) Collection by Type
Now showing items 401-420 of 696
-
Matumizi ya mbinu za tashbihi na jazanda katika tamthilia za Kiswahili
(Makerere University, 2020-12)Lengo la jumla: Kutathmini mbinu ya tashbihi na jazanda katika tamthilia teule ili kubaini vipengele vinavyotofautiana na vinavyofanana katika kutumia lugha ili kufikisha ujumbe katika mkabala wa fasihi linganishi. Malengo ... -
Matumizi ya nyimbo kama kipengele cha sanaa katika ngano za Kiswahili na Kinyankole
(Makerere University, 2021-01) -
Matumizi ya Nyimbo katika Ufundishaji wa Lugha ya Kiswahili
(Makerere University, 2023-01-23)Kuna mbinu nyingi za ufundishaji wa lugha ya kiswahili na mmoja wapo ni mbinu ya nyimbo.Mimi kama mtafiti nilijitolea mhanga na kwenda nyanjani ili kufanya utafiti na kuchunguza vile nyimbo zinavyotumiwa na walimu pamoja ... -
Matumizi ya ushairi katika Riwaya ya Mama ee
(Ashaba Ritah, 2022-11)Utafiti huu unazungumzia juu ya matumizi ya mashairi katika tamthilia ya mama ee na Ari Katin Mwachofi. Ilihusu baadhi ya istilahi za kishairi ambazo mwandishi wa tamthilia ya mama ee alizotumia katika uandishi wake. -
Matumizi ya ushairi katika tamthiliya za kiswahili: kimya kimya, kilio cha haki na mke mwenza.
(Makerere University., 2021-03-12)Utafiti huu ulikusudia matumizi ya ushairi katika tamthiliya za Kiswahili. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuonyesha jinsi ushairi unavyo tumiwa katika tamthiliya za kiswahili, na madhumuni mahususi yaani kuonyesha ... -
Mbinu za kusawiri utamaduni katika riwaya ya ndoto ya almasi
(Makerere University, 2023)The techniques used to portray culture in a noval of Ndoto ya Almasi -
Mchango wa nyimbo katika ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili
(Makerere University, 2023-09)Malengo: Lengo kuu: Kugundua namna au jinsi nyimbo za kiswahili zinavyosaidia katika ujifunzaji wa lugha ashirafu ya kiswahili. Malengo mahususi: 1. Kutambua aina tofauti tofauti za nyimbo za kiswahili. 2. Kufafanua namna ... -
Mchango wa riwaya ya nyota ya rehema kwa maendeleo ya wanawake katika jamii: [the role of women in the development of society by referring to the novel Nyota Ya Rehema]
(Makerere University, 2022-02-11)Utangulizi: Utafiti huu utahusu mada ambayo ni mchango wa riwaya ya nyota ya rehema kwa maendeleo ya wanawake katika jamii. Utafiti huu utachungunza jinsi mwanamke alivyosaidia katika maendeleo ya jamii yake hususani. ... -
Mchango wa wanawake wa kuleta ukombozi katika tamthilia ya Kigogo na Kimya kimya kimya
(Makerere University, 2023-09)Tafiti nyingi za fasihi ya Kiswahili zimemhusu mhusika mwanamke kwa ujumla. Kipyegon (2013) katika tasnifu yake, "Nafasi na utambulisho wa mwanamke katika Natala na Kifo Kisimani", amesawiri mwanamke akinyanyaswa katika ... -
Mchango ya midahalo katika ufundishaji wa lugha ya Kiswahili
(Makerere University, 2022-02)Kuchunguza michango ya midahalo katika ufundishaji wa lugha ya kiswahili -
Meaning construction of the Rastafarian community of Gaza, Mafubira, Jinja District
(Makerere University, 2022-05-07)The main purpose of this study is to find out the meaning construction of the Rastafari Community amongst the people/ Rastafari of Gaza, Mafubira Jinja District. The study found out the misunderstandings in the analysis ... -
Menstrual management, health and hygiene interventions on the academic performance of girl child at ordinary level in Nsangi sub-county.
(Makerere University, 2022-12-14)An increasing number of studies have revealed that girls in low-income segments struggle with poor academic performance during menstruation scaled down to inadequate management of menstrual health and hygiene. This study ... -
Metaphor and meaning in selected Runyankore proverbs.
(Makerere University, 2023-01-17)This research lays down to examine the metaphor and meaning in selected Runyakole proverbs among the Ankole community. It strives to identify, elaborate, analyze and archive proverbs which eventuate and betide in not only ... -
Metaphor in selected Luganda fables as retold by the contemporary Baganda
(Makerere University, 2023-07)The present study seeks to examine the kinds of metaphors used by the Contemporary Baganda in retelling Luganda fables. The study is informed by the view that language changes with time. Despite the process being a gradual ... -
Metaphor in selected Runyankole Riddles
(Makerere University, 2021-05-31)This research aims at investigating metaphorical integrations in riddles in Runyankole language. Thirty metaphorical riddles are analysed to the detail, and classified in two groups. The first group, which is a contingent ... -
Metaphors in Baganda proverbs. Case study of forty selected proverbs
(Makerere University, 2022-06-20)It is credible that Proverbs are virtual for people in the same society since they always come to the same understanding about culture in communication which is always made up of proverbial language for example they share ... -
Metaphors in Lango Proverbs
(Makerere University, 2023-07-02)The research focused on investigating the effective use of metaphors in relaying the message in the selected Lango proverbs as well as the choice of words and nature of words employed in these proverbs. The research was ... -
Metaphors in selected jopadhola riddles.
(Makerere University, 2021-05-11)The study explored the analysis of Jopadhola riddles based on language and metaphor. The research further looked at the role Jopadhola language plays in the interpretation of metaphors in Jopadhola riddles. The riddles ... -
Mifumo ya madhari na dhamira katika riwaya za Kinyankole na kisahili.
(Makerere University, 2022-05-05) -
Mikondo ya maudhui kwenye tamthilia teule za Kiswahili zenye mandhari ya ukoloni
(Makerere University, 2020-11)Kazi hii ninaitabarukia wazazi wangu, familia yangu na watu wengine kwa msaada walionipa katika safari yangu ya kufanya utafiti huu. iv Kwanza, ninamshukura sana Mwenyezi Mungu kwa kunijalia uzima na uwezo wa kukamilisha ...