Browsing School of Education (SEd.) Collection by Type
Now showing items 661-680 of 696
-
Ulinganishi wa nafasi ya vijana katika tamthilia za kisasa na zamani (1950-1980) na (1990-2000): comparison of the role of youth in modern and ancient dramas (1950-1980) and (1990-2000)
(Makerere University, 2021-02-23)Utafiti huu ulidhamiria kutathimini usawili wa wahusika vijana kwa kutumia tamthilia teule za zamani na hizi za kisasa, ili kugundua usawili wa vijana kama waandishi wa tamthilia mbalimbali ... -
Ulinganishi wa nahau za Kiswahili na za Kingereza Kisemantic
(Makerere University, 2020)Katika utafiti huu, mtafiti alijitahidi kushughulikia maarifa yanayohusu tofauti na mfanano uliyopo kati ya Nahau za Kiswahili na za Kingereza kwa kuegemea upande wa semantiki. Tasnifu hii itakuwa katika sehemu tatu -
Umuhimu wa kutumia methali katika ngano za kiswahili
(Makerere University., 2021-03-10) -
The under representation of girls in STEM subjects at secondary schools in Uganda
(Makerere University, 2022-12-16)In Uganda, there exist many factors such as the lack of female role models, the masculine classroom environment, socio-cultural ideologies of a patriarchal society and pedagogy incorporated in the science curriculum that ... -
Une etude sur l'introduction du Frangals dans les ecoles primaires en Ouganda: L'analyse situationnelle a mbuya parents' school.
(Makerere University, 2023-07-24)En Ouganda, l'enseignement et l'apprentissage des langues étrangères se sont traditionnellement concentrés sur les écoles secondaires et les établissements d'enseignement supérieur. Le français, étant une langue ... -
The unfulfilled dream , a film focusing on the misinterpreted notion of feminism.
(Makerere University, 2023-12-05)A young man from humble beginnings, driven by ambitious dreams, finds his path to success obstructed by a society that favors women. Despite his intelligence and determination, he struggles to achieve his goals simply ... -
University students dress codes at Makerere University.
(2023-12-22)This research was mainly carried out to investigate and examine the reasons concerning particular dress codes by Makerere University, and the perceptions and misconceptions individuals come up with to either praise or ... -
Usawiri wa mwanamke kama kiumbe anayejikwamisha kiukombozi kwa kurejelea ya riwaya ya nyota ya Rehema na Utengano
(Makerere University, 2022-11)Utafiti huu ulichunguza usawiri wa mwanamke kama kiumbe anayejikwamisha mwenyewe katika riwaya ya Utengano iliyoandikwa mwaka wa 1980 na mwandishi Said A Mohammed ambaye ni professor wa taaluma za fasihi na riwaya ya Nyota ... -
Usawiri wa mwanamke kama mkombozi wa wanajamii na jamii anamoishi kwa kurejelea tamthilia za kimya kimya kimya na kilio cha haki
(Makerere University, 2023-09)Lengo la utafiti. Lengo kuu la utafiti: Kueleza umuhimu na mchango wa jinsia ya kike (mwanamke) katikaharakati za kukomboa wanajamii kutoka kwa maovu wanawotendewa na wale wanaowatawala. Malengo mahususi: Kulinganisha ... -
Usawiri wa mwanamke kama mvumilivu kwa kurejelea riwaya ya Nyota ya Rehema na Baraka za mama
(Makerere University, 2023-10)Tasnifu hii inahusu swala la mwanamke kama mvumilivu kwa kulejelea riwaya ya nyota ya rehema na baraka za mama. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kudadisi mwnamke kama mvumilivu katika riwaya za kiswahili, kwa kuonyesha ... -
Usawiri wa mwanamke katika nyimbo zilizoibwa kwa kiswahili na Jose Chameleon
(Makerere University, 2022)Utafiti huu unachunguza athari za Kifonolojia za Kinyankore Katika Kujifunza Lugha ya Kiswahili, mintarafu stadi ya kusoma nchini Uganda hasa kwenye shule za upili. Utafiti huu unatumia nadharia ya Fonolojia ili kuweka ... -
USAWIRI WA MWANAMKE KATIKA RIWAYA YA UHASAMA KILIMANI NA YULE WA JAMII YA WANYANKORE KWA KUHUSISHA NADHARIA YAUFEMINISTT
(2023-01-31)This study was on the Portrayal of Woman in Wanyankole Society and Woman in Hostile Novel Kilimani. The woman is seen as playing many roles depending on cultural setting. She plays the role of a wife when she has reached ... -
Usawiri wa mwanamke katika tamthilia ya kilio cha haki na chema chajiuza.
(2022-01-21)Andiko hili la mradi linalenga kuchunguza usawiri wa mwanamke katika tamthilia ya Kilio cha Haki na Chema Chajiuza. Mradi huu unalenga kugundua namna wanawake wanavyochukuliwa katika tamthilia hizo mbili kwa sababu muda ... -
usawiri wa mwanamke katika tamthilia ya kivuli kinaishi na kimya kimya kimya
(Makerere University, 2022-05-06)makala hii inahusu usawiri wa mwanamke katika tamithilia ya kivuli kinaishi na kimya kimya kimya . usawiri wa mwanamke ni suala au mchoro wa wahusika wa kike katika kazi za fasihi . usawiri wa mwanamke unajengwa na vipengele ... -
Usawiri wa mwanamke wa kisasa katika tamthilia teule za Kiswahili Kwenye Ukingo wa Thim (1988) na Mama Ee (1987): [Analysis of how the contemporary woman is portrayed in the novels "Kwenye Ukingo wa Thim (1988)" by Said A. Mohamed and "Mama Ee (1987)" by Ali Katini Mwachfu.]]
(Makerere University, 2022-11-07)Lengo kuu: Lengo kuu la utafiti huu ni kuchunguza usawiri wa mwanamke wa kisasa katika tamthilia teule za Kiswahili Kwenye Ukingo wa Thim (1988) na Mama ee (1987). Malengo Mahususi: (i) Kutathmini namna mwanamke ... -
Usawiri wa wanaume katika nyimbo za mapenzi za kiswahili
(Makerere university, 2022-01)Andiko hili la mradi linalenga kuchunguza usawiri wa wanaume katika nyimbo za mapenzi za kiswahili. Mradi huu unalenga kugundua namna wanaume wanavyooneshwa katika nyimbo hizi za kiswahili kama vile mapenzi, mapenzi hisia ... -
Usawiri wa wanawake vijaana katika fasihi ya kiswahili yaani riwaya za msururu wa usaliti na nyota ya rehema pamoja na tamthilia kimya kimya.
(Makerere University., 2021-04-12) -
Use of ICT to implement teaching and learning in African higher institutions
(Makerere University, 2022-03)Information and communication technology (ICT) offers numerous benefits to the education sector globally. However, the usage of ICT to implement teaching and learning in African higher institutions is low despite the ... -
The use of imagery in selected Acholi folktales.
(Makerere University, 2022-11-16)This dissertation explains the existence of the Imagery in Acholi Folktales and also how it is used and the eventual effectiveness it has in giving out a message in the folktales. Oral literature is one of the types of ... -
Use of imagery in the proverbs of the Banyankole.
(Makerere University, 2023-12-12)This study was primary carried out to investigate the use of imagery in the Banyankole proverbs These images are translations of the morals meant to be taught in society This study thus endeavors to confirm that these ...