Browsing College of Education and External Studies (CEES) by Type
Now showing items 41-60 of 747
-
Athari ya lugha ya Kikiga katika Ujifunzaji wa ngeli ya ki-vi ya KISWAHILI (The effect Rukiga Language on the teaching of Ki-Vi class of Noun in Kiswahili
(Makerere University., 2021-04-29)This dissertation is motivated by the researcher's need to explore how different tribes in Uganda especially Bakiga-Banyankore who have been affected by their mother tongues during the teaching and learning of kiswahili. ... -
Athari ya lugha ya kwanza katika ujifunzaji wa insha za Kiswahili kwa wasomi wa kidato cha tatu nchini Uganda
(Makerere University, 2021)The importance of the first language in the studying of Kiswahili Language. The researcher found out different ways of how the first language have influenced the study of composition writing amongst students of senior three ... -
Athari za itikadi katika tamthilia ya mfalme edipode na kinjikitile.
(Makerere University., 2021-03-11)Utafiti huu unahusu Athari za itikadi katika tamthilia ya mfalme Edipode na Kinjikitile. Lengo kuu la utafiti huu ni kuchunguza athari za itikadi katika tamthilia ya mfalme Edipode na Kinjikitile . Malengo mahususi ni ... -
Athari za kifonolojia za kinyankore katika kujifunza katika kiswahili, mintarafu stadi ya kusoma
(Makerere University, 2022-03)Awali ya yote anayestahiki kushukuriwa ni Mwenyezi, Mungu kwa kuniumba, kunikuza na kunipa afya nzuri, uvumilivu, busara na hekima ya kufanya kazi hii hadi kuimaliza. NamwombaMungu anijalie ziada za kheri. Pili, shukrani ... -
Athari za Kikiga katika kujifunza kiswahili katika shule za upili walayani Kabale
(Makerere University, 2018-09)Sura hii ya hii ya utangulizi inaeleza juu ya usuli wa utafiti, maelezo kuhusu lugha ya Kikiga, maelezo kuhusu lugha ya kiswahili, historia ya wakikiga, lengo kuu, maelengo Mahususi ya utafiti,maswali ya utafitina umuhimu ... -
Athari za lafudhi katika lugha ya Kikiga katika ujifunzaji na ufundishaji wa lugha ya Kiswahili: [Effects of Kikiga language accent on the teaching and learning of Kiswahili language].
(Makerere University, 2022-12-12)Lengo kuu: Lengo kuu la utafiti huu ni kutambua athari za kimatamshi za maneno kati ya lugha ya Kikiga na Kiswahili. Malengo mahususi: 1. Kuchunguza uchopekaji na udondoshaji katika lugha ya kikiga na Kiswahili. 2. ... -
Athari za lafudhi ya Kikiga katika matamshi ya maneno ya mkopo katika Kiswahili
(Makerere University, 2022) -
Athari za lafudhi ya Kinyankore katika ujifunzaji wa lugha ya Kinyankore nchini Uganda
(Makerere University, 2023-10-26)This work is about the effects Runyankore accent in the learning of Kiswahili in Uganda. The major aim of this research was to ascertain the effects of Runyankore in teaching Kiswahili. Another aim was to find ways on how ... -
Athari za Lafudhi ya Lugha ya Kinyankore katika Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili.
(Makerere University, 2023-02-06)Kazi hii ilihusika na Uchunguzi wa athari za Lafudhi ya Kinyankore katika ujifunzaji wa Kiswahili.Utafiti huu ulikuwa na malengo matatu ambayo ni Kuchunguza tofauti za kifonolojia baina ya lugha ya Kinyankore na lugha ya ... -
ATHARI ZA LUGHA MAMA KATIKA UJIFUNZAJI WA KISWAHILI KAMA LUGHA YA PILI MIONGONI MWA WANAFUNZI WAGANDA WANAOJIFUNZA KISWAHILI
(Makerere University, 2023-01-17)Utafiti huu ulishughulikia athari za lugha mama kwa wanafunzi Waganda wanaojifunza lugha yaKiswahili kama lugha ya pili katika wilaya ya Wakiso nchini Uganda.Utafiti huu umegawanyika katika sura tano, sura ya kwanza ni ... -
Athari za lugha ya Kimeru katika ufundishaji wa maneno ya mkopo katika Kiswahili
(Makerere University, 2022-11-30)Athari ya Lugha ya Kimeru katika ufundishaji wa maneno ya Kiswahili kwa kuangalia yale maneno ambayo ni ya mkopo katika lugha ya Kimeru na jinsi yameadhiri ufundishaji wa lugha ya Kiswahili -
Athari za lugha ya Kinyankole katika ufundishaji wa Lugha ya Kiswahili.
(Makerere University., 2022-05)Lengo kuu la utafiti huu ni jinsi ambavyo mtoto wa kinyankole anayefunza lugha ya kiswahili anavyoathiriwa na lugha take ya mama katika harakati sake za kujifunza lugha ya kiswahili sanifu. Utafiti huu umefanywa katika ... -
Athari za Lugha ya Kinyankore katika ujifunzaji wa ngeli ya N-N ya Kiswahili kama lugha ya pili.
(Makerere University., 2021-04-16) -
Athari za lugha ya Kitagwenda katika kujifunza matamshi ya lugha ya Kiswahili
(Makerere University, 2022-11)Lengo kuu la utafiti huu ni kujua jinsi ambavyo mzungumzaji wa lugha ya Kitagwenda anayejifunza lugha ya kiswahili anavyoathiriwa na lugha yake mama katika mchakato mzima wa kujifunza lugha ya kiswahili sanifu. Utafiti huu ... -
Athari za matamshi ya Kinyankore katika ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili katika shule za upili wilayani Ntungamo, kusini -magharibi mwa Uganda
(Makerere University, 2023-09)Malengo ya Utafiti. Lengo Kuu: Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchanganua athari za matamshi ya Kinyankore katika ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili katika shule za upili wilayani Ntungamo, Kusini-Magharibi mwa Uganda. ... -
Athari za mazingira ya mwandishikatika Udhihishhaji wa Maudhui katika riwaya teule za Kiswahili
(Maskerere University, 2021-01)Ningependa kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kufikia hatua hii ya kukamilisha utafiti huu nilioufanya kwa miezi kadhaa. Yeye ndiye aliyenijalia nguvu, uwezo wa fikra na utashi wa kufanya utafiti ... -
Athari za teknolojia katika ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili: [the effects of technology on Swahili language learning]
(Makerere University, 2022-02-05)Matini hii inahusu athari za teknolojia katika ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili. Jinsi teknolojia inavyoweza kuathiri ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili yaani athari chanya na athari hasi. Matini hii ina sura moja, na sura ... -
Athari za uchumi katika ukombozi wa mwanamke: riwaya ya Msururu wa usaliti na riwaya ya Nyota ya Rehema.
(Makerere University, 2022-11)Katika sura hii ya kwanza, kwa jumla ilizungumzia juu ya vipengele muhimu kama utangulizi wa utafiti, usuli wa mada ya utafiti, tatizo ya mada ya utafiti, malengo ya utafiti, maswali ya utafiti, umuhimu wa utafiti, msingi ... -
Athari zinazomkumba mwanamke mkombozi katika maendeleo ya jamii: mfano wa tamthilia ya kilio cha haki (1981) na mama ee (1987)
(Makerere University, 2023-11)Katika sura hii ya kwanza, utafiti huu, ulijadili masuala yafuatayo kama vile: usuli wa utafiti, suala la utafiti, malengo ya utafiti, maswali ya utafiti na umuhimu wa utafiti. Vilevile ulichambua misingi ya kinadharia. ... -
Audience feedback to guild campaign messages: interpretation and responses
(Makerere University, 2023-09)This study is aimed at examining the kind of feedback that guild aspirants obtain from the electorate when campaign messages are communicated out to them. It presents the introduction and background of the study and the ...